Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga Bi.Mwantum Mgonja ameendelea na zoezi la kuhamasisha Sensa ya Watu na Makazi katika Kijiji cha Kisemvule na Picha ya Ndege.
Bi. Mwantum Mgonja ametoa wito kwa Wananchi kuendelea kujitokeza kuhesabiwa kwa Maendeleo yetu.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania
Telephone: +255222928730
Simu ya Mkononi: 0634329394
Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz
Copyright ©2026 MkurangaDc. All rights reserved.