Wiki ya maonyesho ya Uwekezaji na Biashara ambayo yanafanyika kuanzia tarehe 5 na kumalizika octoba 10 katika Viwanja vya stendi ya zamani iliyopo Mailimoja Kibaha Mjini.
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga imeshiriki katika maonesho ya Uwekezaji na Biashara lengo likiwa ni kuunga mkono Juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan katika sekta ya Uwekezaji na Viwanda.
Maonyesho hayo ya Uwekezaji na Biashara yamebebwa na Kauli mbiu isemayo.
"Pwani ni sehemu sahihi kwa uwekezaji,pamoja tujenge viwanda kwa uchumi na ajira endelevu"
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania
Telephone: +255222928730
Simu ya Mkononi: 0634329394
Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz
Copyright ©2026 MkurangaDc. All rights reserved.