• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
    • TASKSMIS |
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Rasimali watu na Utawala
      • Industrial, Trade and Investment
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Mipango,Sera na Takwimu
      • Ardhi na Maliasilli
      • Maji
      • Ujenzi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mazingira na Usafi
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Uongozi
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Sera
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Photo Galley
    • Habari Mpya
    • Matukio

WADAU WA ELIMU MKURANGA WAMPONGEZA RAIS SAMIA KUENDELEZA ELIMU BURE.....

Posted on: September 24th, 2021


Rais Samia Suluhu Hassan amepongezwa kwa kuendelea kusimamia sera ya elimu bila malipo hali inayochangia ongezeko la wanafunzi ngazi mbali mbali wakiwemo wasio na uwezo kiuchumi

Akifungua kikao cha wadau wa maendeleo kwenye sekta ya elimu Wilayani Mkuranga Mkoa wa Pwani jana mwenyekitiwa kikao ambaye pia Mkuu wa Wilaya Khadija Ally aliweka bayana mafanikio kupitia mkakati huo wa serikali ya awamu ya tano na sita  wamepokea sh. Bl.1. 697,259 kwa sekondari na bil. 2.316y,261 kwa msingi kuanzia mwaka 2018-2019 hadi 2020/21.

Mkuu huyo aliwaomba wadau wakiwemo wahisani kuweka nguvu zao wakishirikiana na Halmashauri ya Wilaya ili kutekeleza maagizo ya Waziri wa Nchi ofisi ya Rais (TAMISEMI) Ummy Mwalimu kwa kujenga miundo mbinu ya madarasa, vyoo, nyumba za walimu  sambamba na madawati ili wanafunzi watakaoanza kidato cha kwanza , elimu ya wali na msingi wawe madarasani kwa mkupuo.

Khadija ambaye pia anaongoza kamati ya ulinzi na usalama aliagiza kukomeshwa mmomonyoko wa maadili sambamba na kuwachukulia hatua za kisheri awanaowapa ujauzito wanafunzi.

Akitoa taarifa ya hali ya elimu Mkurugenzi wa Halmashauri ambaye pia ni katibu wa kikao Mwantumu Mgonja alizitaja baadhi ya changamoto ni uwepo wa ongezeko kubwa a wanafunzi unachangia mahitaji makubwa ya miundombinu , walimu na madawati.

Akitoa salaam zake Mbunge wa Jimbo la Mkuranga ambaye pia ni Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi  Abdallah Ulega alimpongeza Rais kwa kazi kubwa ya kujenga madarasa vijijini huku akiahidi kushirikiana na (SIDO) na (VETA) ili kila Kijiji na kata pawepo karakana ili vijana wapate ajira kutengeneza na kukarabati madawati huku Jukwaa la wanawake  watengenezesare za wananfunzi nayo Halmashauri ya Wilaya ijikite kupika chakula ili kupunguza utoro na kuongeza ufaulu.


 

Matangazo

  • TANGAZO LA VITUO VYA USAILI January 21, 2025
  • ORODHA YA MAJINA YA WAANDISHI NA WAENDESHA VIFAA January 21, 2025
  • Tazama vyote

Habari Mpya

  • MADIWANI MKURANGA WAPITISHA TAARIFA YA MAENDELEO ROBO YA TATU

    April 29, 2025
  • KIJANA WA MLENGWA WA TASAF ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 20 YA BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU

    March 03, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MKURANGA IMEFANYA UZINDUZI WA MIRADI YA (TI)

    March 01, 2025
  • WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA

    February 10, 2025
  • Tazama vyote

Video

SIMAMIENI MAADILI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Fomu ya Ruhusa ya Ugonjwa kwa Watumishi (Sick Sheet Form)
  • FFARS user manual
  • Matokeo ya Darasa la Saba 2020
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • uchaguzi wa wanafunzi kujiunga kidato cha kwanza 2020/2021 Mkuranga
  • Barua pepe za ofisi za watumishi
  • Fomu ya Likizo kwa Watumishi
  • Fomu ya Ruhusa kwa Watumishi
  • Fomu ya Maombi ya Leseni ya Biashara

Tovuti Linganifu

  • TAMISEMI
  • e-GA
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Ajira
  • Ikulu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Baraza la Mitihani la Tanzania
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani
  • Mkuranga Tasks Management Information System (Tasks MIS)

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

    Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania

    Telephone: +255232110038

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma zetu

Copyright ©2023 MkurangaDc. All rights reserved.