Published on Mar 27, 2017
Leo, Mradi wa Uimarishaji Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais-TAMISEMI pamoja na Wakala ya Serikali Mtandao (eGA) tumezindua tovuti mpya za Mikoa yote 26 ya Tanzania Bara, na Halmashauri zake zote 185. Uzinduzi huo ulifanywa na Waziri wa nchi OR-TAMISEMI, Mh. George SImbachawene, na kuhudhuriwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mh. Dkt. Harrison Mwakyembe, na Mkurugenzi Msaidi wa USAID Tanzania, Tim Donnay, ambao ndio wafadhili wa Mradi wa PS
Ziara ya Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Wilaya ya Mkuranga
Ziara ya Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Wilaya ya Mkuranga
Copyright ©2023 MkurangaDc. All rights reserved.