Posted on: September 24th, 2018
Wakazi wa wilaya ya Mkuranga wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuhudhuria Clinic ya macho itakayoendeshwa kwa muda wa wiki mbili katika hospitali ya wilaya ya Mkuranga (Mkwalia)
Wito huo umetolewa le...
Posted on: September 22nd, 2018
Katika hali ya kusikitisha mkazi mmoja wa kijiji cha magoza katika Kata ya Kiparang'anda Wilayani Mkuranga bwana Selemani Juma amemuua Mkewe Bi Selina Sulubu kwa madai ya mgogoro wa mapenzi wa muda mr...
Posted on: August 28th, 2018
Mkuu wa wilaya ya mkuranga Mh. Filberto Sanga amepongeza jitihada zinazofanywa na jukwaa la wadau wakilimo (ANSAF) katika kuboresha afya na kipato cha wakazi wa wilaya hiyo
Sanga alisema hayo jana ...