Posted on: May 20th, 2022
Mkuu wa wilaya Mkuranga wa Mkoa Pwani Mhe. Hadija Nassir ALi ametoa maagizo kwa Wenyeviti wa Vijiji na Watendaji wa Kata na vijiji kuwa mabalozi katika utunzaji wa mazingira yaliyotengwa kwa ajili ya ...
Posted on: May 3rd, 2022
Mbio za Mwenge wa Uhuru wa mwaka 2022 umetembelea Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga na kukimbizwa katika maeneo mbalimbali ya Miradi ya Maendeleo.
Mwenge wa Uhuru uliweza ku...
Posted on: May 1st, 2022
Halamashauri ya Wilaya ya Mkuranga yameadhimisha siku ya wafanyakazi duniani ambapo kimkoa wa Pwani imefanyika katika Wilaya ya hiyo katika viwanja vya shule ya Msingi Juhudi iliyopo Kipala Mpakani.
...