Posted on: September 7th, 2021
Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani Khadija Nasri amewataka Madiwani wajikite zaidi katika kuwaletea maendeleo wananchi .
Akizungumza kwenye kikao cha Baraza la Madiwani robo ya...
Posted on: September 5th, 2021
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani Mohamed Mwela amempongeza Mkurugenzi wa Halmashauri Mwantumu Mgonja kwa kuteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
Akifungua kikao cha Bara...
Posted on: August 26th, 2021
Serikali imetenga shilingi Bilioni 37 kwa ajili ya utekelezaji Mradi wa ujenzi na usambazaji wa miundo mbinu ya umeme katika vijiji vyote Vilivyopo ndani ya Mkoa wa Pwani
Hayo ...