Posted on: November 24th, 2022
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga imevuka lengo katika kutekeleza zoezi la chanjo ya POLIO kwa watoto wenye umri chini ya miaka 5 baada ya kufanyika kw a zoezi hilo katika kipindi cha awamu tatu.
H...
Posted on: November 19th, 2022
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga Bi. Mwantum Mgonja amekabidhi Gari ya kubeba wagonjwa (Ambulance ) lenye thamani ya Shilingi Milioni 174.039.393.77 kwa Mganga Mkuu wa Wilaya ya Mkurang...
Posted on: November 9th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Bi. Khadija Nasr Ali jana amefanya ziara ya kukagua Ujenzi wa Miradi ya Madarasa mapya ya Sekondari ili kujionea muendelezo wa ujenzi huo sambamba na changamoto zilizopo ili...