Posted on: May 16th, 2018
Kaya zaidi ya 100 Wilayani Mkuranga zimeathirika na mvua katika vijiji vya Makumbea na Magawa katika kata ya Magawa Wilayani Mkuranga.
Akizungumza na wananchi wa vijiji vilivyoathiri...
Posted on: April 30th, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Mh Filberto Sanga amewataka wasichana kubadili tabia ili kujiepusha na maambukizi ya ugonjwa wa saratani ya mlango wa kizazi kwa wasichana wenye umri wa miaka...
Posted on: April 27th, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Mh.Filberto Sanga ametoa maagizo makali kwa wananchi na viongozi wanaoshiriki kukata miti hovyo kwa matumizi yao binafsi hasa miti ya miembe na minazi.
Mh Sanga ...