Posted on: December 4th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga akiwakilishwa na Afisa Tarafa ya Mkuranga Clement Muya amevitaka Vikundi vitakavyonufaika na Mikopo ya Wanawake, Vijana na watu wenye ulemavu kurejesha fedha hizo kwa wakati...
Posted on: December 1st, 2022
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga yaadhimisha Siku ya Ukimwi Duniani tarehe 01/12/2022 katika Kijiji cha Shungubweni Wilayani Mkuranga na kuweka mpango madhubuti wa kuhakikisha agenda ya Ukimwi ...
Posted on: November 27th, 2022
Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa Majaliwa amezitaka Halmashauri zote Nchini kutumia Fedha za Mapato ya ndani katika kutekeleza Miradi mbalimbali ya Maendeleo badala ya kusubili Fedha kutoa Serikali kuu...