Posted on: November 4th, 2024
Wajumbe wa Kamati ya Rufaa wa Wilaya ya Mkuranga wamekutana November 4,2024 katika semina iliyoandaliwa kabla ya kuanza utekelezaji wa majukumu.
Kamati ya Rufaa inaongozwa na Katibu ...
Posted on: October 31st, 2024
LSP (local service provider) wasimamizi wa mradi ngazi ya jamii wamepewa mafunzo ya kujua wajibu wa majukumu katika miradi itakayotekelezwa na walengwa.
LSP watakuwa na jukumu la kuwasimam...
Posted on: October 29th, 2024
Programu ya stawishi maisha inayosimamiwa na serikali ya Tanzania kupitia TASAF kwa kushirikiana na wadau wa Maendeleo UNICEF imezinduliwa katika kijiji cha Mkiu Kata ya Nyamato Wilaya ya Mkuranga.
...