Posted on: November 20th, 2019
Asasi ya kiraia Asma Mwinyi Foundation imejikita Wilayani Mkuranga Mkoa wa Pwani kuwasaidia wananchi kuboresha afya zao hatimaye waweze kushiriki kwenye ujenzi wa Taifa.
Akiwasilisha taarifa ya asa...
Posted on: November 19th, 2019
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani imeingia Mkataba wa upembuzi yakinifu na Kampuni ya ‘Mhandisi consultant Limited’ kwa ajili ya kuandaa andiko la Mradi wa ujenzi wa Stendi kubwa ya Maba...
Posted on: November 14th, 2019
Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani Philiberto Sanga amewataka viongozi wa Vyama vya Msingi ( AMCOC ) kuzingatia miongozo ya utekelezaji wa Mfumo wa Stakabadhi Gharani ili kuepukana na sint...