Posted on: December 1st, 2021
Takwimu za maambukizi ya virusi vya ukimwi zimeshuka kutoka asilimi 4.9 hadi kufikia asilimia 3 kuanzia January 2020 hadi kufikia Desemba 2021
Hayo yamesemwa leo katika sherehe za kilele cha maadhi...
Posted on: November 29th, 2021
Leo 29/11/2021 kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango ya Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani imetembelea na kukagua miradi mbalimbali inayotekelezwa kwa kutumia mapato ya ndani ,fedha kutoka S...
Posted on: November 25th, 2021
Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Bi Khadija Nasiri Ally ameitaka michango ya Asasi za kiraia (NGO's) ijikite katika maendeleo ya Wilaya kubainisha changamoto na kuimarisha mahusiano kati ya serikal...