Posted on: December 17th, 2021
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga imefanya uzinduzi wa zoezi la utambuzi ,usajili na ufuatiliaji wa mifugo katika kijiji cha Mkiu Kata ya Nyamato katika shamba la Mkiu Livestock Farm. Zoezi hili lipo ...
Posted on: December 6th, 2021
Leo 7/11/2021 Afisa Uchaguzi Halmashauri ya Wilaya Ndg.Salum Mwamfula sambamba na afisa Utumishi Ndg.Mwarami Mwangira wamefika katika kijiji cha Kerekese kilichopo kata ya Kisiju Wilaya ya Mkuranga Mk...
Posted on: December 1st, 2021
Takwimu za maambukizi ya virusi vya ukimwi zimeshuka kutoka asilimi 4.9 hadi kufikia asilimia 3 kuanzia January 2020 hadi kufikia Desemba 2021
Hayo yamesemwa leo katika sherehe za kilele cha maadhi...