Posted on: June 5th, 2017
Mwenge wa uhuru kwa mwaka 2017 ulipita wilayani Mkuranga tarehe 04.06.2017 ukitokea wilaya ya Rufiji na baadae ulikabidhiwa wilaya ya Kisarawe tarehe 05.06.2017.
Mwenge wa uhuru wa mwaka 2017 umepi...
Posted on: May 19th, 2017
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga Mh Juma Abeid amemkabidhi gari la wagonjwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mkuranga leo wakati wa hafla fupi ya makabidhiano ...
Posted on: May 12th, 2017
Mkuu wa Mkoa wa pwani Mhandisi Evarist Ndikilo amewaonya wazazi wote wenye dhana potofu juu ya elimu bila malipo.Ndikilo aliyasema hayo wakati wa maadhimisho ya wiki ya elimu yaliyofanyika Kimko...