Posted on: October 31st, 2024
LSP (local service provider) wasimamizi wa mradi ngazi ya jamii wamepewa mafunzo ya kujua wajibu wa majukumu katika miradi itakayotekelezwa na walengwa.
LSP watakuwa na jukumu la kuwasimam...
Posted on: October 29th, 2024
Programu ya stawishi maisha inayosimamiwa na serikali ya Tanzania kupitia TASAF kwa kushirikiana na wadau wa Maendeleo UNICEF imezinduliwa katika kijiji cha Mkiu Kata ya Nyamato Wilaya ya Mkuranga.
...
Posted on: October 24th, 2024
Mratibu TASAF Wilaya ya Mkuranga amewapa mafunzo Wasimamizi ngazi ya jamii (CMC) katika ukumbi wa Mwinyi Sekondari.
Mafunzo hayo yamefanyika October 24,2024 yenye lengo la kuwafundisha CMC...