Posted on: July 21st, 2022
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga imefanya uzinduzi wa Michezo ya Umitashumta Wilaya kwa shule za Msingi Mwaka 2022 katika viwanja vya shule Mwinyi Sekondari.
Kaimu Mkuu wa Wilaya Bw.Clement Muya a...
Posted on: July 17th, 2022
Mbunge wa Jimbo la Mkuranga Mhe.Abdallah Ulega amefanya Bonanza Maalum la kuhamasisha umuhimu wa Sensa ya Watu na Makazi katika Wilaya yake.
Katika Bonanza hilo ilifanyika Jogging maalum ya kujenga...
Posted on: July 13th, 2022
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga Bi.Mwantum Mgonja pamoja na Wataalam wamekutana na Viongozi wa Baraza la Wazee wanaoishi ndani ya Wilaya hiyo.
Lengo la kikao hicho ni kujad...