Posted on: April 13th, 2018
Halmashauri ya wilaya ya Mkuranga jana imeadhimisha siku ya upandaji miti kiwilaya ambapo ilifanyika katika kijiji cha mlamleni kata ya Tambani ambapo wananchi wa kijiji hicho wamefanikiwa ku...
Posted on: April 5th, 2018
Kituo cha Afya Mkamba Wilayani Mkuranga kimefikia hatua ya mwisho za ujenzi wa miundombinu ambapo ujenzi huo umeelekezwa kwenye chumba cha upasuaji,wodi ya wazazi,Maabara na Nyumba ya Mganga.
Mweny...
Posted on: March 26th, 2018
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga imetoa mafunzo ya uhamasishaji wa wataalamu ya namna ya kutekeleza majukumu yao ili kufanikisha mpango wa uhaulishaji katika kata 14 mwanzoni mwa mwezi machi 2018.
...