Posted on: August 25th, 2018
Naibu waziri wa Mifugo na Uvuvi Mh Abdallah Ulega (MB) amemuagiza katibu mkuu wa wizara ya Mifugo na uvuvi kuunda timu ya wataalam ambao watashughulikia mgogoro kati ya wakulima na wafugaji katika Mko...
Posted on: August 24th, 2018
Watu sita wamejeruhiwa na wafugaji jamii ya wamang’ati kwa kupigwa na fimbo sehemu mbalimbali za miili yao ikiwemo kichwani baada ya wafugaji hao kuvamia kijiji cha Kondo Mwelanzi kilichopo katika kat...
Posted on: August 17th, 2018
Wananchi wa kijiji cha Hoyoyo katika kata ya Tengelea Wilayani Mkuranga jana wakiwa kwenye mkutano Mkuu wa kijiji wamedai shamba lao la kijiji lenye ekari 12.5 ambalo linadaiwa &n...