Posted on: May 31st, 2022
Mkuu wa Utawala Jeshi la Polisi DCP Anthony Ruta ameweka jiwe la msingi kituo cha polisi Mwarusembe ambacho kituo hicho kitaweza kutoa huduma katika zaidi ya kata saba (7) ambacho kitaanza...
Posted on: May 26th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani Mh. Hadija Nasri Ali ameshiriki kwenye kikao kazi cha mradi wa kufufua zao la korosho Wilaya ya Mkuranga kilicho andaliwa na Taasisi isiyo ya Kiser...
Posted on: May 26th, 2022
"Ifikapo tarehe 29,Mei,2022 zoezi la uwekaji namba za nyumba zilizopo Wilaya ya Mkuranga liwe limekamilika".
Hayo yamesemwa leo Mei 26,2022 na Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani M...